Diamond Platnuz Ashinda tuzo za AFRIMMA

Msanii Diamond Platnumz, Kutoka Tanzania Africa Mashariki. Kwa mara nyingine tena ameshinda tuzo ya AFRIMMA msanii bora Afrika Mashariki. Tuzo hizo zilizo fanyika October 8 2017 mji wa Texas nchini Marekani, wasani kadhaa wa Tanzania walitajwa kwenye kiny’a ng’anyiro hicho na Diamond ndio msanii pekee kutoka Tanzania ameibuka kidedea na kuchukua tuzo hiyo. Kwa upande wa wanawake east Africa tuzo alichukua Victoria Kimani.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s