Hawaii 5 O Season 7 (Review)

Siko tayari na mwisho wa hii show jamani. Kila mtu anasema season 8 Commander Steve McGarrett anatoka, kuna chanzo wamemuuliza amesema ameumia mgongo kwahiyo hawezi kucheza tena. Sasa akitoka Steve McGarrett si ndio mwisho wa show!!!! Anyway episode ya 24 Chin ameambiwa afikirie kuna kazi inamsuniri San Francisco!! ina maana ndo kuna show mpya???? inakuja na Chin ndo lead character ama vipi? 

Anyways, season 7 ndo tushaona mwisho, acha tusubiri kinachofata. Mi nataka kujua watamtoaje Steve McCarrett. Je watamtoa mwishoni au vipi? 


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s